BREAKING NEWS: ASTON VILLA YATANGAZA KUMSAJILI MBWANA SAMMATA

Klabu ya Aston Villa imethibitisha kukamilika kwa Usajili wa Mtanzania Mbwana Samatta.

Mbwana Samatta sasa rasmi ni mchezaji mpya wa Klabu hiyo kwa mkataba wa miaka 4 na nusu

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post