Zifahamu Sababu za upungufu wa nguvu za kiume

Pombe, maradhi na ulaji wa vyakula usiozingatia maoni ya wataalamu wa afya na tiba lishe ni baadhi ya mambo yanayotajwa kusababisha upungufu wa nguvu za kiume.

Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume linatajwa kushika kasi na limesababisha baadhi ya wanaume kadhaa kuishi maisha ya uyonge yaliyojaa hofu hasa kuhusu hatima ya uhusiano wa ndoa zao.

Kutokana na hali hiyo, baadhi ya waathirika hao wameendelea kuhangaika kurejesha heshima kwenye ndoa zao kwa kusaka tiba, wengine hospitali na wengine kwa waganga wa jadi.

“Haya matatizo yalikuwapo, isipokuwa inaonyesha wengine waliougua tatizo hilo waliogopa kwenda hospitali kusaka tiba

Sababu za kupungua kwa nguvu za kiume

Kuna sababu za kimwili na sababu za kisaikologia
 Matumizi ya Viagra
 Kupiga Punyeto(masturbation)
 Maradhi ya mishipa ya damu
 Shinikizo la damu la kupanda na kushuka
 Unene mkubwa na kitambi
 Kisukari
 Maradhi ya moyo
 Sigara, pombe na madawa ya kulevya
 Kuendesha magari makubwa kwa mda mrefu
 Lishe mbovu, mfumo mbaya wa maisha, umri, majeraha na vidonda vya tumbo
 Msongo wa mawazo na vidonda vya tumbo
 Ngiri na maradhi ya zinaa
 Uraji wa vyakura vyenye kemikali (chemicals)

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post