Flora Asimulia Alivyoteseka Kuwa Changudoa

MZAZI mwenziye na staa wa Bongo Fleva, Hamis Baba ‘H Baba,’ Flora Mvungi amefunguka kuwa kati ya ‘scene’ zilizowahi kumtesa ni ya kuwa changudoa, aliyocheza kwenye sinema ya Kashinde.
Akizungumzia filamu hiyo, Flora alisema amecheza kama changudoa jambo ambalo kwake lilikuwa gumu kuweza kuigiza kama mtu mwenye mahusiano na wanaume wengi.
“Daaah ile ilinitesa sana kwa kweli, unajua kufanya kitu ambacho hujakizoea katika maisha ya kawaida, kwangu lilikuwa jambo gumu kwa kweli. Mimi nimezoea kuwa mapepe hivi kwenye filamu, lakini pale ilikuwa balaa,” alisema Flora.
Stori: Imelda Mtema

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post