Usiku wa December 11 2019 ndio usiku ambao hatua ya makundi ya michuano ya UEFA Champions Leafue ilimalizika na kufahamika kwa timu 16 zilizosonga mbele.
Timu 16 zilizofanikiwa kuingia hatua ya 16 bora ni FC Barcelona, Napoli, Borussia Dortmund, Liverpool, Valencia, Chelsea, RB Leipzig, Olympique Lyonnais, Real Madrid, PSG, Man City, Bayern, Tottenham, Atalanta, Juventus na Atletico Madrid.
Baada ya kuzifahamu timu 16 zilizofuzu, UEFA watachezesha droo December 16 2019 kufahamu ratiba kamili ya mechi za 16 bora kujua nani atacheza na nani na michezo hiyo itachezwa kuanzia February 18/19 & 25/26 2020 kwa mechi za kwanza na marudiano ni March 10/11 & 17/18 2020