KLABU ya soka ya Napoli ya Italia imemfukuza kazi kocha wao Carlo Ancelotti ikiwa ni chini ya masaa matatu baada ya kuiongoza timu hiyo kuingia hatua ya mtoano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Mwezi uliopita aliingia kwenye mgogoro na Rais wa Napoli baada ya kukataa kuwa na kambi ya mazoezi ya muda mrefu na Wachezaji.
Tags
MICHEZO KIMATAIFA