Kiungo wa klabu ya Red Bull Salzburg Takumi Minamino, anategemea kufanyiwa vipimo vya afya leo kwenye klabu ya Liverpool ili kuweza kukamilisha usajili wake dirisha litakapofunguliwa Januari.
Liverpool ilianzisha majadiliano ya kumsaini mchezaji huyo mwenye miaka wiki iliyopita ambapo anathamani ya £7.25m na kutegemewa kuwasili Anfield mwezi ujao
Liverpool ilianzisha majadiliano ya kumsaini mchezaji huyo mwenye miaka wiki iliyopita ambapo anathamani ya £7.25m na kutegemewa kuwasili Anfield mwezi ujao
Tags
MICHEZO KIMATAIFA