POGBA HAKUNA KUONDOKA MAN UNITED

Kocha Ole Gunnar Solskjaer amesema kwamba kiungo Paul Pogba hatoondoka Manchester United mwezi Januari 2020.

Pogba amecheza mechi 6 tu msimu huu mpaka sasa katika kikosi cha Man United tangu alipoumia kifundo cha mguu mwezi Septemba  mwaka huu.

Pogba amekuwa akihusishwa na kuhamia Real Madrid lakini Ole amesisitiza kwamba kiungo huyo wa kimataifa wa Ufaransa atabaki Old Trafford msimu huu

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post