Baada ya kumhudumia chakula **wizkidayo msanii wa muziki wa Bongo Fleva na mmmiliki wa **ShishiFood SHILOLE ameandika ujumbe huu kupitia ukurasa wake wa Instagram
Shilole ameandika 'Wizkidayo, a very humble brother. Nilikutana naye 2016 alipokuja Mwanza kwenye **TigoFiesta, naa baada ya hapo nimewahi kukutana naye.
Shilole ameandika 'Wizkidayo, a very humble brother. Nilikutana naye 2016 alipokuja Mwanza kwenye **TigoFiesta, naa baada ya hapo nimewahi kukutana naye.
Jana, nilimpelekea msosi wa **shishifood tukapiga story kadhaa. Tukapiga stori, akanieleza kuhusu kazi zangu alizosikiliza na jinsi anavyozikubali. Lakini sana akaeleza alivyonogewa na chakula cha #ShishiFood kiasi kwamba aliagiza kingine akaweke kwenye friji ili kipindi chote akiwa Tanzania ale msosi wangu na pilipili (**ChillFood)
Kifupi, namkubali sana uyu mwamba (kingereza hapo natakiwa nimuambieje?. Yoo brother **wizkidayo I am your big fan you know?. Apart from being a music genius and our continent's Icon, you are such a good person. Karibu tena Tanzania, there is always some #ShishiFood for you). Uzuri na yeye ananikubali kwa hiyo, collabo iko njiani.