Mshambuliaji wa timu ya Juventus inayoshiriki Serie A, Cristiano Ronaldo amewaomba mabosi zake wampe mkataba kiungo wao wa zamani Paul Pogba ambaye kwa sasa anakipiga Manchester United ndani ya Premier League.
Andre Onana aitamani ligi ya England
Real Madrid inayoshiriki La Liga imekuwa ikitajwa kuiwania saini ya nyota huyo huku kocha wao Zinedine Zidane akisema kuwa ni miongoni mwa viungo anaowakubali wakiwa uwanjani.
Kei Kamara aiponda Sierra Leone
Mabosi wa United wametaja dau la kukomoa kwa timu inayotaka saini yake ambayo inatajwa kuwa ni pauni milioni 80 na Juventus wanatajwa kuongeza juhudi ili kuinasa saini yake ifikapo mwezi januari.
Tags
MICHEZO KIMATAIFA