Goli lake la jana dhidi ya Man City, Limemfanya Mohamed Salah kumfikia Yaya Toure katika nafasi ya 5 kwenye listi ya wafungaji wa kiafrika wenye magoli mengi zaidi katika Historia ya Premier League.
1. Drogba (104)
2. Adebayor (97)
3. Yakubu (95)
4. Mané (72)
5. Salah (62)
6. Yaya (62