NYOTA SIMBA KUIBUKIA POLISI TANZANIA, ATOA MASHARTI MAGUMU



Picha inayohusiana


MARCEL Kaheza mshambuliaji wa kikosi cha Smba huenda msimu ujao akaibukia kikosi cha Polisi Tanzania.

Kaheza amerejea kutoka Kenya baada ya kumaliza mkataba wake wa mkopo kuitumikia timu ya AFC Leopards, uongozi wa Simba umemuweka kwenye hesabu za kumtoa kwa mkopo.

Kaheza amesema: "Mimi ni mchezaji na uwezo wangu unajulikana hivyo kikosi ambacho nitakwenda ninahitaji kupata namba kikosi cha kwanza," amesema.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post