Meneja na nahodha wa zamani wa Yanga Nadir Haroub Canavarro amerejea kwenye kikosi chake hicho na kuendelea na majukumu kama kawaida licha ya kuwa kulitokea hali ya sintofahamu katika yake na kiongozi wa benchi la ufundi la timu hiyp Kocha Mwinyi Zahera.