Msanii wa WCB Queendarleen ampost mpenzi wake kwa mara ya kwanza,aandika haya


Msanii wa WCB Queendarleen ampost mpenzi wake kwa mara ya kwanza,aandika haya

Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka lebo ya muziki ya WCB chini ya Diamond Platnumz Queendarleen ameweza kumpost mwanaume anayedai ndio mpenzi wake kwa mara ya kwanza kwenye mitandao ya kijamii.

Mara ya mwisho Queendarleen katika moja ya Interview aliyofanya na Bongo five alisema kuwa haoni ulazima wa kumuweka hadharani mpenzi wake kwani haina maana ya kumuweka hadharani.

Aliongeza kuwa ” Yeye haishi maisha ya kujianika hadharani na mpenzi wake kwahiyo haoni umuhimu wa kumuanika hadharani’

aliogea hayo kutokana na swali aliloulizwa kwamba inasemekana wako kwenye mahusiano na msanii mwingine wa WCB ambaye ni Mbosso.

Akiadhimisha miaka kadhaa ya maisha yake Queendarleen alimpost mpenzi wake huyo na kusema ” I L❤ MYBOYFRND nitakumic sana ikianza #WasafiFestival😔”

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post