Majizo Aweka Wazi Ujio Mpya wa Lulu


Mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ yuko chimbo kutengeneza filamu mpya? Majizzo ambae ni Mume wake mtarajiwa ameweka picha hii na kuandika maneno ambayo yanaonyesha Lulu amerudi mzigoni.

Kupitia ukurasa wa Instagram wa Majizzo amepost picha ya Lulu na kuandika “amerudi kazini”. Inawezekana filamu hii mpya ikawa ndio ya kwanza kuachiwa akiwa bado anatumikia kifungo chake cha nje.



Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post