IGP Simon Sirro "Gari Lililomteka Mo Dewji Liliingia Tanzania Kutoka Nchi Jirani"



IGP Simon Sirro leo Oktoba 19 amezungumza mbele ya Wanahabari katika Makao Makuu ya Polisi, Posta Jijini Dar na kuelezea matukio mbalimbali ya Uhalifu yanayotokea nchini

Ameelezea kuhusu tukio la kutekwa kwa Mfanyabiashara Mohammed Dewji maarufu 'Mo Dewji', na kuonesha picha ya gari linalohisiwa kutumika katika utekaji huo

Amesema wamelifuatilia gari hilo aina ya Toyota Surf na kugundua kuwa liliingia nchini kutokea nchi jirani mnamo Septemba 01 mwaka huu 


Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post