Watuhumiwa watatu wa ujambazi walivyouawa Dodoma wakiwa na bunduki


Watu watatu wanaodaiwa kuwa majambazi wameshambuliwa na kuuawa na wananchi majira ya saa mbili usiku katika kijiji cha Maziwa, Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma baada ya kushindikana kwa jaribio la kumvamia na kutaka kumpora fedha mfanyabiashara wa kijiji hicho ambaye jina limehifadhiwa huku wakiwa na silaha aina ya bunduki ambayo imetengenezwa kienyeji.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post