Picha ya Irene Uwoya Yazua Balaa Mtandaoni



BigieMsanii wa Filamu Bongo, Irene Uwoya amejikuta akiibua mjadala mkubwa mara baada ya kuachia picha ambayo inaonyesha eneo la kifuani likiwa wazi kwa asilimia kubwa. 

Mremmbo huyo ametumia ukurasa wake wa Instagram kuweka picha hiyo ambapo mashabiki wake wamejikuta wakichagia kwa wingi kuliko ilivyo kawaida kuhusu picha hiyo  

Picha iliyozua gumzo



Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post