Nimepitia Kipindi Kigumu Sana” Maua Sama Afunguka Baada Ya Kuachiwa Huru


Msanii wa Muziki wa Bongo fleva anayefanya vyema na kibao chake cha ‘Iokote’ Maua Sama amefunguka kwa mara ya kwanza tangu aachiwe huru kwa dhamana na jeshi la polisi.

Maua Sama na Mtangazaji wa Clouds Media Soudy Brown walitiwa mbaroni wiki iliyopita baada ya kuchapisha Kwenye mitandao ya kijamii maudhui ya watu wakicheza na kukanyaga pesa.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Maua Sama amefunguka na kueleza jinsi alivyopitia kipindi kigumu katika siku 10 ambazo alikuwa chini ya ulinzi:

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post