Breaking: Meneja wa Simba Afungiwa Mwaka Mmoja Kujihusisha na Soka

Meneja wa Simba afungiwa mwaka mmoja kujihusisha na soka
Meneja wa Simba SC, Robert Richard amefungiwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa muda wa mwaka mmoja kujihusisha na masuala ya soka huku adhabu hiyo ikiambatana na faini ya shilingi za Kitanzania, milioni 4.

Adhabu hiyo imetolewa kutokana na kosa la kuihujumu timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars'.

Taarifa zaidi utaipata kupitia blog hii, endelea kuwa nasi...

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post