HomeKOMBE LA DUNIA 2018 Ninajisikia vizuri kwa sasa-Mo Salah byAdmin -10 June 0 "Ninajisikia vizuri kwa sasa, nahisi nipo tayari kucheza mechi yetu ya ufunguzi kwenye Kombe la Dunia dhidi ya Uruguay na nina amini nitacheza vizuri na kuisaidia timu yangu"- Mo Salah akimwambia Rais wa Misri Abdel Fattah el-Sisi. Nini maoni yako? Weka Comment hapo chini kabisa. Tags KOMBE LA DUNIA 2018 Facebook Twitter