Irene Uwoya- Maneno yenu hayanitishi


From Irene Uwoya: Kufa lazima nife tuuu... nahakuna atae ishi milele...ila kuhusu kuona Pepo hakuna anaejua ni MUNGU pekeee...sooo maneno yenuuu hayanitishiii!!!kama roho kuuuma zitawauma sanaaaaa mim roho yangu nyeupeeeee peeeee..... asante @dogojanjatz kwakunipenda .

Ameandika hayo @ireneuwoya8 katika ukurasa wake wa Instagram.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post