ALICHOSEMA MUDATHIR BAADA YA MTIBWA KUWAPIGA 3-2


“Kusema kweli Mtibwa alikuwa ana Mungu mechi haikuwa ngumu”-Mudathir

Game ya fainali ya Kombe la FA kati ya Singida United dhidi ya Mtibwa Sugar iliyochezwa uwanja wa Sheikh Amri Abeid na kumalizika kwa Mtibwa Sugar kupata ushindi wa magoli 3-2 dhidi ya Singida United.

Baada ya game AyoTV ilimnasa Mudathir Yahaya “Unajua ni jumla ya mchezo unajua sisi kipindi cha pili tumepata nafasi lakini kipindi cha pili makosa kidogo yakatugharimu, kusema kweli leo Mtibwa walikuwa na Mungu tu lakini game haikuwa ngumu kwentu”

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post