Baada ya Simba SC kukabidhiwa na Rais Magufuli kombe la Ubingwa wa Tanzania bara baada ya kufungwa 1-0 mbele yake ulidhani Mashabiki wa Yanga watanyamaza? hapana…. wameendelea kuiandama Simba, bonyeza play hapa chini kumtazama Mchekeshaji Mboto
Tags
Michezo