Sakata la Mtoto wa Gigy Money...Gigy Afunguka Mapya "Moj Sio Baba wa Mtoto Wangu"




Baada ya Kutokea Mgogoro Kati ya Gigy na Moj Hadi kufikia Wawili hao Kupigana Chini na Kila mtu kuchukua Hamsini Zake
.
Maskini Gigy Amkataa Tuliekua Tunaamini ni Baba Wa Mtoto Wake..
.
Amedai kuwa Moj sio baba wa mtoto huyo kuwa yeye ndio anajua Baba ni nani "

Amefunguka hivi alipokuwa akifanyiwa mahojiano: "By the way kwanza mtoto sio wa Moj sijui niseme ukweli? Mimi ndio namjua baba yake Hawezi kuwa baba mtu anakuja nyumbani kwangu namwambia tunakula nini mtoto ananinyonya anajibu 'Nina Buku tu hapa' afadhali angeniambia sina hela

Sijawahi Kutoa Machozi kwa ajili ya Instagram Ila Leo Niacheni " Gigy Money

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post