Inawezekana huyu akawa mpenzi wake Drake??

 

Rappa maarufu kutokea Canada Drake ameingia kwenye headlines baada ya kuonekana akiwa na mrembo matata siku ya May 17,2018 mitaa ya Toronto na wengi kudai kuwa mrembo huyo ni mpenzi wake Drake.
Drake ni miongoni mwa mastaa wachache ambao hawapendi kuweka  mahusiano ya kimapenzi wazi ikiwa 2016 tetesi ambazo zilikuwa zikiendelea ni kuhusu penzi kati yake na Rihanna ingawa wawili hao hawakuwahi kuweka wazi kuhusiana na taarifa hizo.
Kwa hadi sasa  Drake  hajaongelea chochote kuhusiana na kinachoendelea kwenye mitandao ya kijamii  kuhusiana na mrembo huyo.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post