PICHA: Hili ndio begi maalum la kubebea Kombe la 2018

 

Bado siku 27 michuano ya Kombe la dunia kwa mwaka 2018 ianze nchini Urusi, hii ni michuano mikubwa na mvuto wa michuano hii unakuja kutokana na michuano kuwa na utaratibu wa kufanyika mara moja kila baada ya miaka minne.



Kuelekea michuano hiyo kampuni ya fashion ya Louis Vuitton imetengeneza sanduku maalum litakalotumika kubebea Kombe la Dunia kwa mwaka huu 2018.


Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post