MO Salah amefanikiwa kuepuka kifungo cha mechi tatu


Club ya Liverpool ya England inayochezewa na mshambuliaji wa kimataifa wa Misri Mohamed Salah leo April 30 2018 imefanikiwa kuipokea good news kuhusu tuhuma zilizokuwa zinamkabili mshambuliaji wao Salah.
Liverpool leo imezipokea taarifa kutoka chama cha soka England FA kuwa Mohamed Salah hana hatia kuhusiana na tukio lake lilitokea katika mchezo dhidi ya Stoke City kati ya Salah na Bruno Martins.
Salah alikuwa antuhumiwa kumgonga kwa kiwiko beki wa Stoke City Bruno Martins, kitu ambacho FA wamethibitisha kuwa hana hatia na wala haikuwa makusudi kama inavyodhaniwa.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post