Mbegu za uzazi wa mpango kwa Wanaume Mbioni kuzinduliwa

Je wajua, watafiti wa Chuo Kikuu cha Tiba cha Washington wapo mbioni kuzindua vidonge vya uzazi wa mpango kwa wanaume? Vidonge vitafanya kazi ya kupunguza homoni ya kiume iitwayo testosteroni inayohusika na uzalishaji wa shahawa/manii. Vidume mpo?

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post