MAAJABU: MBUZI amzaa Binadamu wa ajabu huko KATAVI

Habarini wapenzi wote wa blog pendwa ya MPEMBA BLOG leo hii tunakusogezea habari ya maajabu ya kushangaza kutoka huko KATAVI GEITA kuna picha imeenea sana katika mitandao ya kijamii ikimuonyesha mbuzi mmoja akiwa amezaa kiumbe cha maajabu kinachozaniwa kuwa ni binadamu. Bado tunazidi kufuatilia na soon tutakuja kukujulish ahapa undani wa habri hii.


Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post