DAR: Mwandishi wa gazeti la The Guardian, Finnigan F. Simbeye ameokotwa na wakazi wa Bunju akiwa hajitambui huku akionekana amepigwa sana
Mpaka sasa bado haijafahamika tukio hilo limetekelezwa na watu gani na kwa lengo gani
Kwa taarifa za sasa, Finnigan amefikishwa Hospitali ya Mwananyamala kupata huduma ya haraka kimatibabu
Tags
kitaifa