Kikwete: Safari za Nje Zimenifunza, Heri Kutembea Bure Kuliko Kukaa Bure
byAdmin-
0
Rais Mstaafu Jakaya Kikwete amesema safari mbalimbali alizozifanya akiwa madarakani na anazozifanya sasa hivi, zimemsaidia kujifunza' na anaendelea kujifunza mambo mengi zaidi.