Billnas baada ya kuona ndoa ya Ali Kiba apanga haya



Staa wa muziki kutoka Bongo Flevani  Billnas ni miongoni mwa mastaa waliohudhuria harusi ya Ali Kiba na Abdu Kiba iliyofanyika April 29,2018 katika Hoteli ya Serena baada ya harusi hiyo haya ndio maamuzi ya Billnas kuwa anatarajia na yeye kufunga ndoa mwakani 2019 na ameyasema haya kupitia ukurasa wake wa twitter.
Billnas ameandika“Mwakani nisipofunga ndoa sio mimi, yani mimi nisioe kweli?”
Baada ya ujumbe huo wa Billnas kuhusu kufunga ndoa mwakani Madee aliamua kumjibu Billnas na kumuambia kuwa ameshaoa na asituchoshe na habari za ndoa.
>>>”wewe si umeshaoa? ndoa yako nani asiyeiona? Usituchoshe”

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post