Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa amewasihi viongozi wa dini nchini wasitumie mahubiri yao kuharibu amani au kuleta mgongano katika jamii.
Pia amesema Serikali inatambua wako watu wanaotaka kuharibu amani iliyopo nchini na ametaka watu hao wasi
Tags
kitaifa