Umealikwa jioni na Mvulana(New Lover) Kwani ni lazima mje wanne na mbaya zaidi wote wanakunywa Savana na mmoja mwenye dozi yeye anakunywa Red Bull kwani lazima unywe Savana au Red Bull wakati kwa muonekano tu ni mtu wa Castle tena Lager au Maji ya Uhai.Unajuaje huyu Lover ametembea na Shs ngapi mfukoni kumletea migumegume yote hiyo kumchuna? Matokeo yake ukishamegwa mwanaume hata cimu hapokei tena kwa Mis behaviuor zenu.Hii nimeishuhudia kwa macho yangu jana Maeneo ya Pub moja Sinza Kumekucha mkaka wa watu ikabidi aangaike sana tu kupiga simu kwa wenzake wammtumie M PESA nadhani alifanikiwa coz after round ya tatu aliitisha bill akalipa wakatokomea.Madada wa Sinza/Kijitonyama muwe na staha kidogo mtaishiwa kumegwa tu kwa tamaa zenu za fisi.BADILIKENI
-JF
Tags
ushauri