Model Audition ya Wolper abeba kumi na kuwapa Ajira House of Stylish


Muigizaji Wolper siku ya Leo March 25, 2018 amefanya Audition maeneo ya Magomeni DSM ya kusaka ma model watakao tumika siku ya show yake tarehe ya March 31 mwaka huu lakini pia watakuwa chini yake kwa kipindi chote baada ya show hiyo wakivalishwa mavazi kutoka kwake ikiwa pamoja na kuajiri wasichana hao.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post