#CCL Yanga inafanikiwa kusonga mbele katika michuano ya #KlabuBingwaAfrika kwa ushindi wa jumla wa mabao 2-1, baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 katika mchezo wa marudiano uliopigwa leo nchini Ushelisheli.
Mechi ilikuwa LIVE #AzamSports2
Tags
Michezo