Madrid yailaza C.D Leganes bao 3-1 tazama hapa magoli yote sasa

Klabu bigwa barani Ulaya imejinyakulia magoli 3-1 dhidi ya C.D  Leganes Magoli yaliyofungwa dakika 6 na Bustinza 11' Casemiro na dakika ya 90' Ramos

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post