Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limewaachia kwa dhamana viongozi waandamizi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA walioitikia wito uliotolewa na jeshi la polisi.
-Viongozi hao wametakiwa kufika kituoni hapo jamanne wiki ijayo saa nne asubuhi.
Tags
Siasa