Tazama hapa jinsi SIMBA ilivyoichapa MBAO 5-0

#VPL Mpira umekwisha, Simba inaibuka na ushindi mnono wa mabao 5-0 katika dimba la Taifa Dar es Salaam dhidi ya Mbao FC, huku Mbao wakipata pigo kwa nahodha wake Yusuph Ndikumana akitolewa kwa kadi nyekundu.

Nini maoni yako?

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post