Ratiba ya 16 bora Europa League ndio hii



Siku moja baada ya kumalizika kwa hatua ya 16 bora ya michuano ya UEFA Europa League, leo shirikisho la soka barani Ulaya lilichezesha droo ya kupanga timu zitakazokutana katika 16 bora siku ya March 8 2018 mchezo wa kwanza
Droo imechezeshwa na tumeona timu kama za Arsenal zimepangwa kucheza dhidi ya AC Milan ambao wataanzania nyumbani na Borussia Dortmund wataanzia nyumbani dhidi ya Salzburg.

Hii ndio ratiba ya 16 bora Europa League msimu 2017/2018.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post