Mwanafunzi wa IFM akamatwa akijifanya Daktari

Daktari feki amekamatwa leo hapa jijini Dar es salaam katika moja ya hospital za hapa mjini, amekuwa akiwahudumia wagonjwa na kuwaahidi kuwafanyia oparesheni kwa muda mfupi. Baada ya Uchunguzi wa Askari imegundulika kuwa alikuwa ni Mwanafunzi wa ngazi ya Cheti cha Uhasibu katika Chuo Cha Usimamzi wa Fedha IFM.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post