Matokeo ya game za 16 bora UEFA Champions League February 21 2018

Michuano ya Club Bingwa Ulaya hatua ya 16 bora imeendelea tena usiku wa February 21 2018 kwa michezo miwili, Man United walikuwa ugenini kucheza dhidi ya Sevilla wakati Shakhtar Donetsk dhidi ya AS Roma.

Sevilla walikuwa wenyeji wa Man United jijini Hispania katika mchezo wa kwanza hatua ya 16 bora lakini Sevilla licha ya kuwa nyumbani wameshindwa kuutumia uwanja wao wa nyumbani vizuri na kujikuta wakiambulia sare 0-0, hivyo kwa matokeo hayo Man United sasa watahitaji ushindi walau wa goli 1-0 ili kusonga mbele.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post