KISUTU, DAR: Wafuasi 3 wa CHADEMA waliojeruhiwa kwa risasi wakati Polisi wakitawanya waandamanaji Kinondoni wafikishwa Mahakamani.
> Makada hao ni Aida Olomi, Issack lomanus Ngaga na Erick John waliokuwa wakishikiliwa katika kituo cha Polisi Oysterbay
Tags
Siasa