HABARI ZA HIVI PUNDE KUTOKA MKOANI DODOMA NI VILIO NA SIMANZI TU ZAIDI SOMA
byAdmin-
0
Hospitali ya Aga Khan (Appolo Medical Center) Mkoani Dodoma inaungua moto muda huu, Kikosi cha Zimamoto kinaendelea na uzimaji moto huo, RPC Gilles Muroto amesema chanzo bado hakijajulikana