Yanga yailaza MajiMaji FC bao 2-1 Mashindano ya ASFC

#ASFC Jaffar Mohammed anawapatia uhai Majimaji kwa kuandika goli katika dakika ya 61. sasa wapo goli moja nyuma ya Yanga.

Dakika 65 - Majimaji 1-2 Yanga

Burudani hii inaletwa kwako mbashara kupitia #AzamSports2

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post