Baada ya kununua Mercedes mpya Model ya 2017 mara baada ya kufiwa na mumewake na kuanza ku control biashara za mumewe, Tarehe 05 Jan 2018 zari kanunua gari mpya Suv aina ya Audi mara baada ya chuo cha mumewe kukusanya ada za wanafunzi wapya.Hili Ndilo Gari Alilonunua Zari