SUPASTAA wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu leo ametupia picha mpya kwenye akaunti yake ya Mtandao wa Instagram, zikimuonesha akiwa na mwonekano mpya ambapo muda mfupi baadaye, mashabiki zake walianza kutoa maoni yao, wengi wakionesha kufurahishwa na mwonekano wake mpya.
Mashabiki hao wamembatiza Wema kwa jina jipya, wakimuita Malkia wa Instagram Tanzania au mwenye insta yake kaja.
Tags
Udaku