Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu Wa shirika la utangazaji nchini, Tido
Muhando, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa
na mashtka ya uhujumu uchumi.
Mhando anakabiliwa na mashtaka manne ya matumizi mabaya ya madaraka na moja la kuisababishia Serikali hasara ya Sh887 milioni akiwa TBC.
Hata hivyo mkurugenzi huyo ameachiwa kwa dhamana baada ya kutimiza masharti matatu ya dhamana, katika mashtaka matano yanayomkabili ya matumizi mabaya ya madaraka

Tags
kitaifa