Ngusa Samike ambaye ni Katibu Mkuu wa Rais, amemwasilishia muigizaji
Wastara Juma mchango wa Sh. milioni 15 kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli
kwa ajili ya matibabu.
![](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_u_MIWp-dMMpMyWUuQZxG8ygcsBqODZ9EBgJ74D96DmTk_Km2aDKDBgxSnE4Op7cly9pJu7KfrmW5iF6Pdk8bD-nhHkhQwv5tCE0uumfrwR8ppBmZOochA=s0-d)
![](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_vXq1QKjXQ4YMQy84CloZz_YsSQ3HVM5C6LWrWWSlEi-ZbaPYdd9_uye-brzTi8eMBb2MeMMd9EoL0LmOH9Q_CQoObaQuGFUlqWw4RDUyMwjmFL_zS_B2cl=s0-d)
Wastara alikuwa anahitaji kiasi cha shilingi milioni 37 kwaajili ya kuendelea kupata matibabu ya mguu wake India ambapo Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo, Dkt Harison Mwakyembe alitoa kiasi cha Sh. Milioni 1

Tags
kitaifa