Mrembo Kourtney Kardashian ameendelea kufurahia vekesheni yake huko nchini Mexico akiwa na mpenzi wake Younes Bendjima mwenye miaka 24.
Kourtney mwenye watato watatu ambaye pia ni dada wa Kim Kardashian, ameweka picha zake za mapumziko hayo wakati nyingine zikimuonyesha akiwa amevalia bikini huku sehemu kubwa ya mwili wake ikionekana.
Tags
Udaku